From Wikipedia, the free encyclopedia
Uwepo wa awali kabisa wa Uislamu nchini Chad unaweza kuufuatilia tangu enzi za Uqba ibn Nafi, ambaye kizazi chake kinaweza patikana katika makazi yao ya leo huko katika mkoa wa Ziwa Chad.[1] Kwa kipindi ambacho wahamiaji wa Kiarabu wanaanza kufika kutoka mashariki katika karne ya 14 wakiwa katika idadi ndogo kabisa, imani ilikuwa tayari ishajijenga vya kutosha. Uislamishaji nchini Chad ulikuwa unafanyika polepole, tokeo la uenezi mdogo wa ustaarabu wa Uislamu ulikuwa nje kabisa ya mipaka ya kisiasa.[2] Leo hii Wachadi wengi ni Waislamu (55.7%), ambao wengi wao ni dhehebu la Sunni wa Maliki.[3]
Uislamu kwa nchi |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.