Wilaya ya Lamu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Wilaya ya Lamu ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Pwani wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Kwa maana nyingine, tazama Lamu (maana).
Ukweli wa haraka Nchi, Mji mkuu ...
Wilaya ya Lamu | |
Mahali pa Wilaya ya Lamu katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Lamu |
Eneo | |
- Jumla | 6,497.7 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 101,539 |
Funga
Makao makuu yalikuwa Lamu mjini.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Lamu.
Eneo la wilaya ni kanda la ardhi ya Kenya bara kusini ya mpaka wa Somalia pamoja na funguvisiwa la Lamu.
Eneo la wilaya lilikuwa km² 6,167 na idadi ya wakazi 72,686 [2]. Wenyeji ni hasa Wabanjuni.
Kuna misitu ya mikoko ufukoni.
Wilaya ilikuwa inachagua wabunge wawili wa Lamu Mashariki na Lamu magharibi.
Maelezo zaidi Tarafa, Wakazi wote* ...
Tarafa | Wakazi wote* | Wakazi wa mjini* | Makao makuu |
---|---|---|---|
Amu | 17,310 | 12,839 | Lamu |
Faza | 7,474 | 0 | Faza |
Hindi | 7,072 | 1,335 | |
Kiunga | 3,310 | 0 | Kiunga |
Kizingitini | 6,010 | 0 | Kizingitini |
Mpeketoni | 25,530 | 773 | Mpeketoni |
Witu | 5,980 | 1,322 | Witu |
Total | 72,686 | 16,269 | - |
* 1999 census. Sources: , , |
Funga