From Wikipedia, the free encyclopedia
Yosefu Ma Taishun (Qianshenzhuang, 1840 hivi - Wangla 26 Juni 1900) alikuwa mganga na katekista wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Waboksa, baada ya ndugu zake kuasi imani ili kuokoa uhai wao[1].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 26 Juni[2].
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.