33Miles
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
33Miles ni bendi ya nyimbo za kisasa za Kikristo ambao una mvuto kutoka nyimbo za nchi hasa kutoka sehemu za Franklin, Tennessee. Walianza kucheza muziki yao huko Nashville wakiwa na mkataba na INO Records,studio ambayo ilitoa albamu ya kwanza ya bendi hilo,33 miles,katika mwaka wa 2007. Albamu ilikuwa #8 katika chati ya Billboard Top Heatseekers na #16 katika chati ya Top Christian Albums. Katika wimbo wao wa 2007,There is a God walikuwa wakitaka kuwafahamisha wanasayansi waliokuwa wakisafiri kuenda katika utupu unaozunguka ulimwengu.Iliimbwa mnamo tarehe 3 Septemba 2009 wanasayansi wale walipokuwa wakitaka kupanda ndege yao.[1]
Remove ads
Wanachama
- Jason Barton - mwimbaji kiongozi (alitoka True Vibe)
- Chris Lockwood - mchezaji gitaa
- Collin Stoddard - mchezaji piano
Diskografia
Albamu
- 33Miles (INO Records, 2007)
- One Life (INO Records, 2008) U.S. #161[1]
- Believe (Toleo la Krismasi, INO Records, 2009)
Nyimbo
Remove ads
Tuzo
- Kuchaguliwa kama Washindani katika Wasanii wapya bora katika tuzo za 2009 za Visionary [2]
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads