AM to PM
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"AM to PM" ni wimbo wa dansi-pop uliorekodiwa na mwimbaji wa muziki wa R&B-pop wa Kimarekani Bi. Christina Milian. Wimbo ulitungwa na Milian, Christian Karlsson na Pontus Winnberg, na kutayarishwa na Bloodshy na Avant kwa ajili ya albamu ya kwanza ya mwanadada huyo iliyokwenda kwa jina la Christina Milian, ambayo imetolewa 2001 na kuuufanya wimbo huu kuwa kama wimbo mkuu kutoka katika albamu hiyo.
Wimbo umepata kuwika kimataifa kwa kuweza kuingia katika kumi bora za baadhi ya nchi ikiwemo Ubelgiji, Denmark, Ireland, Uholanzi, Norwei na Uingereza. Kwa upande wa Marekani, ilipata kushika nafasi ya 27 katika chati za Billboard Hot 100 Bora. Wimbo huu ulifuatana sambamba kabisa na video yake iliyoongozwa na Bw. Dave Meyers.
Remove ads
Video yake
Chati
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads