When You Look at Me
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"When You Look at Me" ni wimbo mwimbaji wa Kimarekani - Christina Milian. Wimbo huu uliandikwa na Milian, Christin Karlsson, Nina Woodford, Fredrik Odesio na Henrik Jonback, na kutayarishwa na Bloodshy a Avant kwa ajili ya albamu ya kwanza ya mwanadada huyu iliyokwenda kwa jina la Christina Milian, iliyotoka kunako mwaka wa 2001.
Wimbo ulitolewa ukiwa kama wa pili kutoka katika albamu hiyo kwa nje ya Marekani, na kuja kuwa kibao mashuhuri kwa nchi ya Australia na Ulaya kwa ujumla, kwa kufikia kumi bora katika Australia, Ubelgiji, Ireland, Uholanzi na Uingereza.
Remove ads
Muundo na orodha ya nyimbo
Huu muundo mzima wa matoleo na orodha ya nyimbo hizi za "When You Look at Me."
- Single za Promosheni
- "When You Look at Me" (uhariri wa kwa ajili ya redio)
- Single ya CD kwa ajili ya Ulaya
- "When You Look at Me" (uhariri wa kwa ajili ya redio)
- "When You Look at Me" (remix ya Bloodshy)
- "AM to PM" (mchanganyiko mkuu wa Groove Chronicles)
- "When You Look at Me" (video yake)
Charts
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads