A Different Me

From Wikipedia, the free encyclopedia

A Different Me
Remove ads

A Different Me ni albamu ya tatu kutoka kwa mwanamuziki: Keyshia Cole, iliyotolewa mnamo 16 Desemba 2008 nchini Marekani.[1][2] Albamu hii imethibitishwa platinum na RIAA.[3]

Ukweli wa haraka Studio album ya Keyshia Cole, Imetolewa ...
Remove ads

Kuhusu albamu hii

Albamu hii inazingatia upevu wa sauti na maneno ya Keyshia Cole.[4] Cole alieleza kuwa albamu zake za awali zilizingatia machungu yake, lakini sasa amebadilisha mwelekeo na kuwa mwamamke ambayee bado anakomaa na aliye katika harakati ya kujutafuta katika dunia hii.

Matokeo

Andy Kellman wa hutoka Allmusic alipatia albamu hii nyota nne juu ya tano. Jim Farber wa kutoka Daily News (New York) pia aliipa nyota nne juu ya tano.[5]

Albamu hii ilifika namba 2 kwenye chati ya Billboard 200, na kuuza nakala 322,000 kwenye wiki yake ya kwanza.[6] Katika wiki yake ya pili, albamu hii ilishuka hadi namba 7, na kuuza nakala 127,000.[7] Katika wiki ya tatu na ya nne, albamu hii ilibaki kwa namba 7 na kuuza nakala 54,000 kwenye wiki ya tatu na nakala 37,000 kwenye wiki ya nne.[8][9] Katika wiki yake ya tano, albamu hii ilishuka hadi namba 9, na ikauza nakala 31,000.[10] Kwenye wiki ya sita, albamu hii ilipanda hadi namba sita, na kuuza nakala 31,000.[11] Katika wiki yake ya saba, albamu hiiilishuka hadi namba 8, na kuuza nakala 31,000.[12] Katika wiki yake ya nane, albamu hii ilishuka hadi namba kumi, na kuuza nakala 34,000.[13] Albamu hii imethibitishwa platinum na RIAA'. Mauzo ya nchini Marekani hadi Novemba 2009 ni takriban nakala 980,000.

Remove ads

Nyimbo zake

Maelezo zaidi #, Jina ...
Remove ads

Wafanyi kazi

  • Pastor Donald Alford – producer
  • Ivan "Orthodox" Barias – producer, musician
  • Keyshia Cole – executive producer, vocal arrangement, A&R, vocal producer
  • Claudio Cueni – engineer
  • Esther Dean – vocal arrangement, vocal producer
  • Bojan Dugich – engineer
  • Mike "Angry" Eleopoulos – engineer
  • Eric Eylands – mixing assistant
  • Ron Fairorgan, harmonica, conductor, producer, vibraphone, executive producer, vocal arrangement, horn arrangements, string arrangements, vocal producer, string conductor
  • Ron Feemster – drums, keyboards, producer, musician
  • Bernie Grundman – mastering
  • Josh Gudwin – engineer
  • Carvin "Ransum" Haggins – producer
  • Manny Halley – executive producer, A&R, management
  • Tal Herzberg – engineer, digital editing
  • Dan Higgins – flute
  • Nate Hill – assistant engineer
  • Buffy Hubelbank – production coordination
  • Chris James – engineer
  • Johnny "J" – producer
  • Ryan Kennedy – assistant engineer
  • Kid Named Gus – engineer
  • Jonathan Merritt – assistant engineer
  • Jason T. Miller - producer, guitar, synths
  • Peter Mokran – mixing
  • James Murray – engineer
  • Vek Neal – illustrations
  • Outsyders – producer, engineer
  • Carlos Oyanedel – mixing assistant
  • Dave Pensado – mixing
  • Jason Perry – drums
  • Poke & Tone – producer
  • Polow da Don – producer
  • James Poyser – producer
  • David "DQ" Quinones – engineer
  • Josh "Guido" Rivera – guitar
  • Mike Ruiz – photography
  • The Runners – producer, engineer
  • Allen Sides – string engineer
  • Johnnie "Smurf" Smith – keyboards
  • Phil Tan – mixing
  • Tank – producer
  • Eric Weaver – mixing assistant
  • Frank Wolf – string engineer
  • Andrew Wuepper – mixing assistant
Remove ads

Chati

Maelezo zaidi Chati (2008), Namba ...

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads