Abitinae

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Abitinae ni jina la Kilatini la mji wa zamani katika mkoa wa Afrika Kaskazini wa Dola la Roma (katika Tunisia ya leo).

Kulikuwa na askofu wa Kanisa Katoliki, lakini kwa sasa ni jimbo jina tu, maarufu kwa wafiadini wake.

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Abitinae kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads