Abrahamu wa Skete

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Abrahamu wa Skete (alifariki 399) ni kati ya Wakristo wamonaki maarufu wa Misri.

Mtoto wa kabaila, alijiunga na monasteri. Kabla hajafa aliteseka miaka 18 kwa ugonjwa wake.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Januari.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads