Aprunkulo wa Langres
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Aprunkulo wa Langres (pia: Apruncule, Aproncule, Aprunculus; Autun au Dijon, leo nchini Ufaransa, karne ya 5 hivi - Clermont-Ferrand, 488 hivi) alikuwa askofu wa 11 wa Langres hadi alipolazimika kukimbia dhuluma ya Waario. Hapo akawa askofu wa 12 wa Clermont kuanzia mwaka 479 hadi kifo chake [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads