Adelaide wa Italia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Adelaide wa Italia (Bourgogne, 931 hivi – Selz, leo nchini Ufaransa, 16 Desemba, 999) alikuwa binti wa Rudolf II, mfalme wa Burgundia.
Kwanza aliolewa na Lothari II, mfalme wa Italia. Alipofariki Lothari, Adelaide aliolewa na Otto I, mfalme mkuu wa Ujerumani.
Kama malkia alionyesha upendevu wa kiasi kwa wanafamilia wake, adabu na heshima kwa watu wengine, huruma isiyochoka kwa fukara, ukarimu mkubwa katika kuheshimu makanisa ya Mungu [1].
Ndiyo sababu tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 16 Desemba[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Marejeo ya lugha nyingine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads