Agata Lin Zhao
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Agata Lin Zhao (1817 hivi - Maokou 28 Januari 1858) alikuwa bikira mlei wa China aliyefia Ukristo kwa kukatwa kichwa pamoja na makatekista wenzake Jeromu Lu Tingmei na Laurenti Wang Bing chini ya kaisari Wenzongxian [1].


Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, ila ya kwake mwenyewe tarehe 28 Januari[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads