Agathius
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Agathius au Akasio au Agathonas (kwa Kigiriki: Ακακιος; alifariki 303/304), alikuwa akida wa jeshi la Dola la Roma kutoka Kapadokia aliyeuawa mjini Bizanti (leo Istanbul, nchini Uturuki) kwa sababu ya imani yake ya Kikristo katika dhuluma ya makaisari Dioklesyano na Maximian[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi[2] kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads