Agrikola wa Nevers
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Agrikola wa Nevers (alifariki 594) alikuwa askofu wa 7 wa mji huo (leo nchini Ufaransa) kuanzia mwaka 570/580 hadi kifo chake; kabla ya hapo alikuwa mtawala [1].
Alishiriki mitaguso mitatu huko Ufaransa.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Februari[2].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads