Agripano
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Agripano (pia: Agrève; alifariki karne ya 7) alikuwa askofu wa Puy-en-Velay (leo nchini Ufaransa) kuanzia mwaka 649 hivi [1].
Mtu mwenye asili ya Hispania, baada ya juhudi nyingi za kichungaji, aliuawa na Wapagani akiwa njiani kurudi Velay kutoka Roma.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Februari.[2]
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads