Ahero
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ahero ni mji wa Kenya katika Kaunti ya Kisumu.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2009, mji pamoja na eneo lake lote una wakazi wapatao 76,828[1].
Ahero ni kata ya kaunti ya Kisumu, Eneo bunge la Nyando, nchini Kenya[2].
Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads