Ahmed Mabukhut Shabiby
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ahmed Mabukhut Shabiby ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Gairo kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads