Air Namibia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Air Namibia ni ndege ya kitaifa ncini Namibia, iliyo na makao yake kwenye jumba la Trans Namib mjini Windhoek.[1] Inahudumu safari za nchini Namibia na za ng'ambo. Makao ya ndege zake ni kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Windhoek Kosea Kutako.
Historia

Ndege hii ilianzishwa mnamo 1946 na kampuni ya South West Air Transport. Ilibadilishwa jina na kuwa South West Airways mnamo 1959. Serikali ya Namibia ilinunua hisa zake nyingi mnamo 1982 na kuifanya kuwa ndege ya kitaifa mnamo 1987. Ilibadilishwa jina tena na kuwa Air Namibia mnamo Oktoba 1991 baada ya nchi hii kupata uhuru.
Miji inayosafiria
Afrika
Uropa
Ndege za kwenda Windhoek and London Gatwick zilizimamishwa mnamo Mei 2009.[2]
Remove ads
Ndege zake
Air Namibia ina ndege zifuatazo (hadi 29 Novemba 2009):
- Ndege 2 aina ya Airbus A340-312
- Ndege 2 aina ya Boeing 737-200
- Ndege 2 aina ya Boeing 737-500
- Ndege 1 aina ya Boeing 737-800
Viungo vya nje
- Official website
- Air Namibia Fleet Ilihifadhiwa 6 Mei 2009 kwenye Wayback Machine.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads