Aix-en-Provence

From Wikipedia, the free encyclopedia

Aix-en-Provence
Remove ads

Aix-en-Provence ni mji wa Ufaransa katika mkoa wa Provence-Alpes-Côte d'Azur.

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Thumb
Thumb
Sehemu ya mji wa Aix-en-Provence

Mji upo m 73-511 juu ya usawa wa bahari, km 30 kaskazini kwa Marseille.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2006, wakazi wapatao 140,000 wanaishi katika mji huu.

Remove ads

Tazama pia

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aix-en-Provence kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads