Ajuture
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ajuture, O.S.B. (kwa Kifaransa: Adjutor, Adjouter, Adjoutre, Ayoutre, Ayutre, Ajutre, Ustre, yaani Msaidizi; Vernon, leo nchini Ufaransa, 1070 hivi [1] - Pressagny-l'Orgueilleux, 30 Aprili 1131) alikuwa askari katika vita vya msalaba ambaye alipokamatwa na Waislamu alikataa kukana imani ya Kikristo.

Alijiunga baadaye na monasteri ya Wabenedikto akawa mkaapweke[2].
Tangu kale huheshimiwa kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads