Aleksanda Briant
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Aleksanda Briant, S.J. (Somerset, 17 Agosti, 1556 – Tyburn, 1 Desemba 1581) alikuwa padri Mjesuiti kutoka Uingereza mwenye akili na imani [1].

Baada ya kuacha ushirika wa Anglikana ili kujiunga na Kanisa Katoliki, alipata upadrisho huko Ufaransa mwaka 1578 akatumwa kwao alipofanya utume miaka 3. Alipokuwa gerezani alijiunga na Wajesuiti na hatimaye alinyongwa na kukatwa vipandevipande[2].
Alitangazwa mwenye heri na Papa Pius IX mwaka 1929 na mtakatifu mwaka 1976 na Papa Paulo VI.
Sikukuu yake huadhimishwa na Wakatoliki tarehe 1 Desemba[3].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads