Ally Seif Ungando
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ally Seif Ungando (amezaliwa 1 Januari 1975) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kibiti kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads