Kibiti
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kibiti ni mji mdogo katika Wilaya ya Kibiti, Tanzania, yenye postikodi namba 61813.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 29,533 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 15,156 [2] walioishi humo.
Msimbo wa Posta ni 61610.
Shughuli kuu katika kata ya Kibiti ni kilimo cha mihogo, ufuta, mpunga, korosho, mahindi na mtama.
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads