Alto
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Alto (alifariki huko Bavaria, Ujerumani, 760 hivi) alikuwa mmonaki mwenye asili ya Ireland, maarufu kwa kuanzisha msituni monasteri nchini Ujerumani, ambayo baadaye ilizungukwa na wananchi hata kuunda kijiji chenye jina lake hata leo[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Februari[2].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads