Amadeo wa Amidei
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Amadeo wa Amidei (alifariki Monte Senario, Italia, 1266) alikuwa mmojawapo[1] kati ya waanzilishi saba wa shirika la Watumishi wa Maria[2].

Alitangazwa na Papa Klementi XI kuwa mwenye heri tarehe 1 Desemba 1717, halafu Papa Leo XIII alimtangaza mtakatifu pamoja na wenzake tarehe 15 Januari 1888.
Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 17 Februari[3].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Marejeo ya Kilatini
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads