Papa Leo XIII
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Leo XIII (2 Machi 1810 – 20 Julai 1903) alikuwa Papa kuanzia tarehe 20 Februari/3 Machi 1878 hadi kifo chake[1]. Alitokea Carpineto Romano, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Vincenzo Gioacchino Raffaele Luigi Pecci.
Alimfuata Papa Pius IX (1846-78) akafuatwa na Papa Pius X.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads