Msamaha (sheria)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Msamaha (kwa Kiingereza: Amnesty) ni msamaha unaotolewa na serikali kwa kikundi cha watu, kwa kawaida kwa ajili ya makosa ya kisiasa;[1] kitendo cha mamlaka huru kusamehe kikundi cha watu fulani ambao wamefunguliwa mashitaka ila bado hawajahukumiwa. Japo neno Msamaha wa jumla lina maana sawa.[2] Amnesty inajumuisha zaidi ya msamaha, kwa kiasi inafuta ukumbusho wote wa kosa. Hii inazidi kutumika kuelezea wazo la uhuru na kurejea pale wafungwa wanapoachwa huru.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads