Another Part of Me
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"Another Part of Me" ni jina la kutaja wimbo ulioimbwa na mwimbaji wa Kimarekani, Michael Jackson. Kiasili wimbo ulikuwepo kwenye filamu ya Jackson ya 1986 Captain EO. Baadaye ikaja kuonekana tena katika albamu yake ya mwaka wa 1987, Bad, na ikaja kutolewa ikiwa kama single ya sita kutoka mnamo mwaka wa 1988.
Remove ads
Mafanikio yake Chatini
"Another Part of Me" imeshika nafasi zifuatazo:
- #1 kwenye chati za Billboard R&B Singles chart.[1]
- #11 kwenye chati za Billboard Hot 100.[2]
- #15 kwenye chati za UK Singles Chart.
Muziki wa video
Muziki wa video rasmi ulitolewa mnamo 1988, na uliongozwa na Patrick Kelly, unamwonyesha Jackson akiimba moja kwa moja wakati wa ziara yake ya Bad World Tour kwenye uwanja wa michezo wa Wembley Arena.
Mixi zake
- Toleo la albamu - 3:53
- Uharirio wa Redio - 4:25
- 7" Version - 3:46
- Biti tupul - 3:46
- Dansi Iliongezwa Urefu na Kumixiwa - 6:18
- Dub version - 3:51
- Maneno Matupu bil Biti - 4:00
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads