Smooth Criminal

From Wikipedia, the free encyclopedia

Smooth Criminal
Remove ads

"Smooth Criminal" ni jina la single ya saba ya msanii Michael Jackson kutoka katika albamu yake ya Bad (1987). Wimbo huu unasikika kwa kasi, yaani, biti yake ni ya kuchangamka kidogo huku ikiwa inamwelezea Jackson akitoa mashairi yake yenye kumlenga mwanamama mmoja aliyeitwa Annie, amabye alivamiwa na wezi kwenye nyumba yake. Wimbo huu ulitolewa mnamo tar. 24 Oktoba 1988, ukiwa kama single na kuweza kushika nafasi ya 7 kwenye chati za Billboard Hot 100.[1] Wimbo huu ulikuja kutolewa tena mnamo tar. 10 Aprili katika mwaka wa 2006 ukiwa kama moja ya sehemu ya seti ya Visionary: The Video Singles. Toleo la single la Visionarylilishika nafasi ya 19 kwenye chati za UK. Mnamo mwaka wa 2003, wimbo umeonekana tena kwenye toleo la albamu ya nyimbo kali na mchanganiko za Michael, Number Ones.

Ukweli wa haraka Imetolewa, Muundo ...
Remove ads

Michakaliko katika chati

Maelezo zaidi Chati (1988), Nafasi iliyoshika ...
Remove ads

Muziki wa video

Orodha ya nyimbo

  1. "Smooth Criminal" - 3:29
  2. "Orange Appeal" - 4:45
  3. "Denigrate" - 4:15
  4. "Smooth Criminal" (Video)

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads