Antoni Maria Zakaria
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Antoni Maria Zakaria (kwa Kiitalia Antonio Maria Zaccaria; Cremona, 1502 - Cremona, 5 Julai 1539) alikuwa padri na tabibu kutoka Italia kaskazini.

Alianzisha shirika la Makleri wa Mt. Paulo, maarufu kama Wabarnaba, ila kuamsha maisha ya kiroho ya waumini [1].
Alitangazwa na Papa Leo XIII kuwa mwenye heri tarehe 3 Januari 1890, tena mtakatifu tarehe 15 Mei 1897.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Marejeo ya lugha nyingine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads