Antonio Rosmini

From Wikipedia, the free encyclopedia

Antonio Rosmini
Remove ads

Antonio Francesco Davide Ambrogio Rosmini-Serbati (Rovereto, 25 Machi 1797 - Stresa, 1 Julai 1855) alikuwa padri na mwanafalsafa wa Italia aliyejihusisha na uhuru na umoja wa nchi yake.

Thumb
Antonio Rosmini-Serbati.

Alianzisha shirika la Upendo (Warosmini[1]).

Baada ya falsafa yake kupingwa muda mrefu, tarehe 18 Novemba 2007 alitangazwa mwenye heri kwa mamlaka ya Papa Benedikto XVI.

Maandishi

Yaliyo muhimu zaidi ni:

  • The origin of ideas. Ilitafsiriwa na anonymous (tol. la Translated from the 5th Italian). London: Keegan Paul, Trench. 1883. OCLC 818116370.
  • The Principles of Moral Science (1831)
  • The Restoration of Philosophy in Italy (1836)
  • The Philosophy of Right (1841–45)

The following have also been translated into English:

Remove ads

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads