Antonov An-225

From Wikipedia, the free encyclopedia

Antonov An-225
Remove ads

An-225 Mriya ni ndege ya Ukraine iliyokuwa kubwa kuliko zote duniani miaka ya 1988 hadi 2019. Ina injini sita. Ilitengenezwa na kampuni ya Antonov. Ilipangwa kwa shughuli za mradi wa usafiri wa anga-nje wa Umoja wa Kisovyeti.

Thumb
Antonov An-225
Thumb
Ulinganifu wa ndege kubwa sana:      Hughes H-4 Hercules      Antonov An-225      Airbus A380-800      Boeing 747-8

Ndege ya kwanza ilikamilishwa mwaka 1988, nakala ya pili ilianzishwa bila kumaliza kutokana na kuporomoka kwa Umoa wa Kisovyeti mwaka 1989 [1].

Ndege ya pekee iliyokwisha iliwahi kupimzishwa kwa miaka kadhaa[2] lakini ilirudishwa kuanzia 2001[3].

Matumizi yake ni ghali kwa hiyo haina ratiba ya kawaida inakodiwa pekee kama kuna haja kubeba mizigo mikubwa sana. Uwezo wake ni kubeba tani zaidi ya 253[4].

Mwaka 2019 taji la ndege kubwa zaidi limechukuliwa na Stratolaunch Roc.

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads