Apoloni wa Sardi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Apoloni wa Sardi alikuwa Mkristo wa karne ya 4 aliyeuawa kwa kusulubiwa huko Ikonio (katika Uturuki wa leo) kwa sababu ya imani yake[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads