Aptoni
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Aptoni (alifariki Angouleme, Ufaransa wa leo, 566 hivi) alikuwa askofu wa tano[1] wa mji huo kuanzia mwaka 541 hivi [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads