Ardani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ardani (alifariki 1056), alikuwa abati wa 13 wa Tournus, Burgundy, leo nchini Ufaransa, kuanzia mwaka 1028.

Wakati wa njaa iliyodumu miaka 1031-1033 alijitahidi kwa ukarimu mkubwa kusaidia fukara waliotaka kukata tamaa[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa hasa tarehe 11 Februari[2].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads