Argimiro
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Argimiro (Cabra, karne ya 8 - Cordoba, Hispania, 28 Juni 856) alikuwa Mkristo wa Hispania, ambaye baada ya kuacha cheo serikalini, akawa mmonaki na akiwa na umri mkubwa akateswa kikatili akauawa kwa upanga chini ya mtawala wa eneo hilo, Mohamed I wa Cordoba kwa kukataa kusilimu[1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads