Arkinimo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Arkinimo (alifariki 462 hivi) alikuwa Mkristo Mkatoliki wa ukoo bora ambaye aliteswa sana na Wavandali katika karne ya 5, wakati wa utawala wa mfalme Genseriki aliyekuwa Mwario[1].
Habari zake zimeandikwa na askofu Vikta wa Vita[2].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Machi pamoja na wenzake Armogaste na Saturus[3].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads