Armogaste
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Armogaste (alifariki 462 hivi) alikuwa Mkristo Mkatoliki wa ukoo bora ambaye aliteswa kikatili sana na Wavandali katika karne ya 5, wakati wa utawala wa mfalme Genseriki aliyekuwa Mwario. Hatimaye hakuuawa bali alifanywa mtumwa ili afe bila sifa ya kufia dini[1].
Habari zake zimeandikwa na askofu Vikta wa Vita[2].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Machi pamoja na ya wenzake Arkinimo na Saturus[3].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads