Armaeli
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Armaeli (kwa Kiwelisi Arthfael; pia: Arthmael, Arzhel, Armel, Armagilus; mwishoni mwa karne ya 5 - 570 hivi) alikuwa mmonaki wa Welisi aliyehamia Ulaya bara kama mmisionari akaanzisha monasteri huko Plouarzel (rasi ya Bretagne katika Ufaransa ya leo)[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads