Arnold Janssen

From Wikipedia, the free encyclopedia

Arnold Janssen
Remove ads

Mtakatifu Arnold Janssen (Goch, Ujerumani,5 Novemba 1837 Steyl, Uholanzi, 15 Januari 1909) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki aliyeanzisha mashirika ya wamisionari wa kiume na wa kike [1].

Thumb
Picha halisi ya Mtakatifu Arnold Janssen.

Alitangazwa na Papa Paulo VI kuwa mwenye heri tarehe 19 Oktoba 1975, na Papa Yohane Paulo II tarehe 5 Oktoba 2003 kuwa mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Januari[2].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads