Artemi

mungu wa kike wa kuwinda na mwitu katika dini ya kale ya Kigiriki na mythology From Wikipedia, the free encyclopedia

Artemi
Remove ads

Artemi (kwa Kigiriki: Άρτεμις, Ártemis) alidhaniwa kuwa dada wa Apolo, binti wa Zeu na Leto. Katika mitholojia ya Kigiriki alikuwa mungu wa kike wa uwindo na mwezi. Analingana na Diana katika dini ya Roma ya Kale.

Ukweli wa haraka Makao, Alama ...

Hekalu lake mjini Efeso lilikuwa kati ya maajabu saba ya dunia.

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads