Artemis Zatti
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Artemis Zatti, S.D.B. (Kiitalia: Artemide Zatti; Boretto, Italia, 12 Oktoba 1880 – Viedma, Argentina, 15 Machi 1951) alikuwa mtawa wa shirika la Wasalesiani wa Yohane Bosco ambaye kama mfamasia alishughulikia vizuri sana wagonjwa wa nchi aliyoihamia utotoni[1].
Alitangazwa mwenye heri na Papa Yohane Paulo II tarehe 14 Aprili 2002, halafu mtakatifu na Papa Fransisko tarehe 9 Oktoba 2022[2][3].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads