Aruwimi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Aruwimi
Remove ads

Aruwimi (pia: Ituri) ni tawimto wa Kongo wenye urefu wa km 1.287.

Thumb
Muonekano wa Mto Aruwimi

Chanzo chake ni kwenye Mkoa wa Mashariki / Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika Milima ya Buluu, si mbali na mji wa Bunia na Ziwa Albert.

Mwanzoni inaelekea kusini halafu inapinda kwenda magharibi hadi kufikia mto Kongo karibu na mji wa Basoko.

Tazama pia

Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aruwimi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads