Mkoa wa Ituri

jimbo la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo From Wikipedia, the free encyclopedia

Mkoa wa Ituri
Remove ads

Mkoa wa Ituri ni mmojawapo kati ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Ukweli wa haraka Nchi, Wilaya ...

Idadi ya wakazi wake ni takriban 4,241,236.

Mji mkuu ni Bunia.

Remove ads

Wilaya

Mkoa umegawanywa katika wilaya 5:

Picha

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Ituri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads