Asa Akira
Mwigizaji wa video za ngono wa Kimarekani From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Asa Akira ni mwigizaji na mwongozaji wa filamu za ponografia wa Marekani.

Akira ameonekana katika zaidi ya filamu 505 za watu wazima hadi ilipofika Mei 2016. Mnamo mwaka 2013, alikuwa mwigizaji wa tatu wa Kiasia baada ya Asia Carrera na Stephanie Swift kushinda tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike wa mwaka.[1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads