Mei

mwezi wa tano katika mwaka From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Mwezi wa Mei ni mwezi wa tano katika Kalenda ya Gregori. Jina lake limetokana na jina la mungu wa Warumi Maia.

Apr - Mei - Jun
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Mei ina siku 31, na hakuna mwezi mwingine unaoanza na siku ya juma sawa na mwezi wa Mei katika mwaka uleule.

Ukweli wa haraka
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads