Aspirini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Aspirini, pia inajulikana kama asidi asetilsalisiliki (acetylsalicylic acid/atorvastatin/ramipril), ni ni dawa mchanganyiko inayotumiwa kuzuia ugonjwa wa moyo na kiharusi.[3] inayopunguza maumivu ya kuzuia mwasho (nonsteroidal anti-inflammatory) na inayotumika kupunguza maumivu, homa, na/au kuvimba, na kama antithrombotic.
Hali mahususi za mwasho ambazo aspirini hutumiwa kutibu ni pamoja na ugonjwa wa Kawasaki, perikaditisi (pericarditis), na homa ya maambukizi ya kooni ambayo haya kutibiwa vyema.
Kufuatia mshtuko wa moyo hupunguza hatari ya kifo kutokana na ugonjwa wa moyo kwa karibu theluthi.[2] Inachukuliwa kwa mdomo.[4] Mchanganyiko huu ni rahisi kutumia kwa baadhi ya watu kuliko vipengele vyake vyake kila kimoja kivyake.[4]
Madhara yake ni yale ya vipengele vyake kila kimoja kivyake.[1] Ni mchanganyiko wa asidi acetylsalicylic (aspirin), ambayo ni dawa ya kuzuia kugandamana kwa chembe sahani za damu(antiplatelet); atorvastatin, ambayo ni dawa ya kupunguza kiwango cha mafuta mwilini (statin) ; na ramipril, ambayo ni kizuizi cha ACE (kiharibishi cha enzimu kubadilisha Angiotensini).[1]
Mchanganyiko huu uliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu katika sehemu za Ulaya na Amerika ya Kusini mwaka wa 2014.[1][5] Kufikia mwaka wa 2023, ilipatikana katika nchi 25.[2] Haijakuwa ikipatikana nchini Marekani kufikia mwaka wa 2023.[2] Iko kwenye Orodha ya Dawa Muhimu ya Shirika la Afya Ulimwenguni.[6] Mbadala wake unaweza kutengenezwa na dawa za kupunguza kiwango cha mafuta mwilini (statins) tofauti au vizuizi vya ACE.[4] Vijenzi hivi kwa ujumla ni madawa ya kawaida.[4] Ni aina ya kidonge mseto (polypill).[7] Dawa hii iligharimu takriban €10 hadi €40 kwa mwezi kufikia mwaka wa 2016. [5]
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads