Atlasi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Atlasi
Remove ads

Kwa matumizi tofauti ya jina hili tazama Atlas (maana)

Thumb
Ramani ya Dunia katika atlasi ya kwanza ya kisasa iliyotungwa na Ortelius - Theatrum Orbis Terrarum (1570)

Atlasi ni mkusanyo wa ramani zinazounganishwa pamoja kwa umbo la kitabu. Siku hizi zinapatikana pia kwa umbo la elektroniki kwa matumizi ya kompyuta au kwenye intaneti.

Kwa kawaida atlasi huwa na ramani mbalimbali za nchi, bara au Dunia yote. Kuna pia atlasi za anga zinazoonyesha nyota. Neno linatumiwa pia kwa mkusanyo wa michoro ya anatomia ikionyesha mifupa au viungo vya mwili.

Atlasi huonyesha ramani za aina tofautitofauti kama tabia za kijiografia, kisiasa au kiuchumi.

Remove ads

Mifano ya atlasi

Karne ya 17 na mapema
  • Piri Reis Map (Milki ya Ottomani, 1570-1612)
  • Theatrum Orbis Terrarum (Uholanzi, 1570-1612)
  • Dell'Arcano del Mare (Uingereza - Italia, 1645-1661)
Karne ya 18
  • Cartes générales de toutes les parties du monde (Ufaransa, 1658-1676)
  • Britannia Depicta (London, 1720)
  • Atlas Nouveau (Amsterdam, 1742)
  • Cary's New and Correct English Atlas (London, 1787)
Karne ya 19
  • Stielers Handatlas (Ujerumani, 1817-1944)
  • Andrees Allgemeiner Handatlas (Ujerumani, 1881-1939; pia katika Uingereza kwa jina la Times Atlas of the World, 1895)
  • Rand McNally Atlas (Marekani, 1881-hadi sasa)
Karne ya 20
  • Times Atlas of the World (Uingereza, 1895- hadi sasa)
  • Atlante Internazionale del Touring Club Italiano (Italia, 1927-1978)
  • Atlas Mira (Urusi, 1937-hadi sasa)
  • Gran Atlas Aguilar (Hispania, 1969/1970)
  • Pergamon World Atlas (1962/1968)
  • National Geographic Atlas of the World (Marekani, 1963-hadi sasa)
  • Historical Atlas of China (China)
Remove ads

Viungo vya Nje

Vyanzo

Atlasi kwenye intaneti

Historia ya atlasi

Atlasi za Kihistoria katika intaneti

Viungo vingine

Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads