Avertino
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Avertino (pia: Iverzin; alifariki 1189) alikuwa shemasi mkaapweke karibu na Tours, Ufaransa.
Rafiki wa Thomas Becket, alimsindikiza uhamishoni (1164), na baada ya kifodini chake (1170), alirudi Ufaransa kuishi upwekeni hadi alipofariki[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu[2][3].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads