Avignon

From Wikipedia, the free encyclopedia

Avignon
Remove ads

Avignon ni mji wa Ufaransa kusini.

Thumb
Sehemu ya mji wa Avignon
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...

Katika historia unakumbukwa hasa kwa sababu katika miaka 1309-1377 Mapapa saba walikuwa na makao yao huko badala ya kuishi mjini Roma.

Katika miaka 1348-1791 Papa alikuwa ndiye mtawala wa mji huo.

Kwa sababu hizo, mwaka 1995 kiini cha mji huo kimetangazwa mahali pa Urithi wa Dunia.

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Loading content...

Vyanzo

Marejeo mengine

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Avignon travel guide kutoka Wikisafiri

Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Avignon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads